Ikiwa imesalia siku moja kutoka kwa albamu mpya ya Rapa Young Killerhatimaye mkali huyo ametaja jina la albamu yake ambayo itaitwa ‘Too Much Amazing’ (TMA)SWAHILI RAP.

Kwa sasa unaweza kuoda albamu hiyo ambayo itatoka rasmi ifikapo tarehe 2, Desemba.
Hii ni albamu ya pili kwa Young Killer, ambapo albamu ya kwanza ilitoka Septemba 24, 2022 ikiwa na ngoma zipatazo zaidi ya 10 iliitwa ‘Msodokii Super Nyota’