Siku ya jumanne majira ya saa sita mchana staa wa muziki kutoka Nigeria, Yemi Alade alinusurika ajali huko nchini Hispania kati ya mji wa Barcelona na Benicassim.
![](https://jambofm.co.tz/wp-content/uploads/2023/08/Yemi-Alade.jpg)
Yemi amefunguka kuwa katika ajali hiyo alikuwa na crew yake ila wote wametoka salama licha ya kuwa ametoka kucha tu ya kidoleani na anamshukuru Mungu juu yake kwani anendelea vyema na alipata huduma ya haraka na kuweza kuendelea na shughuli zake ikiwemo kufanya shoo yake siku hiyo hiyo.