Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Yemi Alade akataa kushindanishwa na Tiwa Savage

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Yemi Alade amegoma kushindanishwa na Tiwa Savage na kumtaka shabiki anaye washindanisha ajuwe kuwa wote wanafanya muziki mzuri na ni washindi.

Yemi amefunguka hayo katika ukurasa wake wa X baada ya kushare video fupi ya shoo yake ya ufunguzi wa Mashindano ya African Cup of Nations (AFCON) yaliyofanyika Jumapili nchini Ivory Coast.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *