Kampuni ta Ebay rasmi imefunga mnada wa Mic ya Cardi B kwa kuiuza kiasi cha Dola 100k sawa na Milioni 247 za Kitanzania.

Mic hiyo aliyotumika kwenye shoo huko Las Vegas siku kadhaa nyuma ambapo alimtwanga nayo shabiki aliyemwagia kinywaji.
Wamiliki wa Mic hiyo wameweka wazi walifanya hivyo ili pesa itakayopatikana kutokana na mauzo badi itasaidia watoto yatima na wenye uhitaji kupata huduma kupitia mauzo ya Mic hiyo.