Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Yanga yashindwa kutamba CAF

Klabu ya soka ya Yanga SC imeshindwa kutamba kwenye hatua ya tatu bora ya Klabu zinazowania tuzo ya ‘Klabu ya mwaka Bora Barani Afrika 2022/2023’.

Mwezi Novemba klabu hiyo ilitangazwa kuingia kwenye mchuwano wa kusaka timu bora ambapo na sasa klabu ya Al Ahly, Wydad pamoja na Mamelod ndiyo timu pekee zilizofuzu hadi hatua ya tatu bora.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *