Yanga yapangwa na Polisi Tanzania, Simba na TRA, kombe la FA

Droo ya hatua ya 32 bora imefanyika mchana huu ambapo jumla ya timu 32 zimefahamu wapinzani wao katika hatua hiyo inayotaraji kuchezwa Februari 19 na 20, mwaka huu.

(1) SINGIDA FOUNTAIN VS FGA TALENTS
(2) TABORA UNITED FC VS NYAMONGO SC MARA
(3) AZAM FC VS GREEN WARRIORS
(4) MTIBWA SUGAR VS STAND UNITED FC
(5) MASHUJAA FC VS MKWAJUNI FC
(6) SIMBA SC VS TRA KILIMANJARO
(7) KMC VS GUNNERS FC
(8) IHEFU FC VS MBUNI FC
(9) COASTAL UNION VS MBEYA KWANZA
(10) JKT TANZANIA VS TMA FC
(11) DODOMA JIJI FC VS BIASHARA UNITED
(12) YOUNG AFRICAS VS POLISI TANZANIA
(13) NAMUNGO FC VS TRANSIT CAMP
(14) KAGERA SUGAR VS PAMBA JIJI FC
(15) GEITA GOLD FC VS MBEYA CITY
(16) RHINO RANGERS VS MABAO FC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *