YANGA YAMTAMBULISHA MCHEZAJI MPYA KUTOKA AS VITA…

Timu ya Dar Young Africans (Yanga) imethibitisha kumsajili mchezaji Jonathan Ikangalombo Raia wa Kongo DR aliyekua akichezea Klabu ya AS Vita.

Ikangalombo kwenye timu aliyotoka anaonekana kumudu zaidi nafasi ya Winga na Mshambuliaji wa kati.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *