Yanga watembelewa Mama Fatma Karume

Klabu ya soka ya Yanga l;eo imetembelewa na Mama Fatma Karume , mjumbe wa kudumu wa baraza la wadhamini wa Young Africans SC, makao makuu ya Klabu Jangwani.

Mama Karume alipokelewa na Makamu wa Rais Arafat Mjumbe wa Kamati ya utendaji aAlex pamoja na Mtendaji Mkuu na kuzungumzia mambo mbalimbali ya maendeleo ya Klabu hiyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *