Kikosi cha Yanga kinatarajia kutumia Kilometa 356 ambayo ni sawa na masaa sita (6) kufika Jijini Dar Es Salaam. Kikosi hicho kimeondoka leo kutoka Tanga na sasa wanarejea Dar Es Salaam wakijandaa na Ligi Kuu inayoanza hivi karibuni na mchezo wao wa kwanza utakuwa dhidi ya KMC Agosti 23.


