Klabu ya soka ya Yanga leo Oktoba 27 imekamilisha Dakika 90 kwenye dimba la Mkapa kwa kuondoka na Point 3 muhimu dhidi ya Singida FG kwa ushindi wa goli mbili zilizofungwa na Max dakika ya 30 na 39.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz