Yanga SC yavuna bilioni 10 msimu wa 2022/23

Rais wa klabu ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Ally Said kupitia hotuba yake katika mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama unaoendelea katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam.

amesema klabu hiyo kwa msimu wa 2022-2023 imeweza kutengeneza kiasi cha Tsh. 7,068,127,083 kupitia wadhamini wa klabu hiyo, huku ikitengeneza Tsh. 3,550,000,000 kupitia ushiriki wa mashindano mbalimbali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *