Yanga na Simba wapo makundi tofauti, Mayele awekwa peke yake

Droo ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika jioni hii jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini, huku vilabu vya Simba SC na Yanga SC vya Tanzania sasa vikiwa tayari vimefahamu wapinzani wao kwenye hatua hiyo.

Simba SC imepangwa kundi B, pamoja na timu za Wydad Casablanca (Morocco), Asec Mimosas (Ivory Coast) na Jwaneng Galaxy (Botswana).

Wakati Yanga SC, ikipangwa kundi D, pamoja na timu za Al Ahly (Misri), CR Belouzdad (Algeria) na Medeama SC (Ghana).

KUNDI A

MAMELODI SUNDOWNS (AFRIKA KUSINI)
PYRAMIDS (MISRI)
TP MAZEMBE (DRC)
FC NOUDHIBOU (MAURITANIA)

KUNDI B

WYDAD CASABLANCA (MOROCCO)
SIMBA SC (TANZANIA)
ASEC MIMOSAS (IVORY COAST)
JWANENG GALAXY (BOTSWANA)

KUNDI C

ESPERANCE DE TUNIS (TUNISIA)
PETRO ATLETICO (ANGOLA)
AL HILAL (SUDAN)
ETOILE DU SAHEL (TUNISIA)

KUNDI D

AL AHLY (MISRI)
CR BELOUIZDAD (ALGERIA)
YOUNG AFRICANS (TANZANIA)
MEDEAMA SC (GHANA)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *