Yanga na Simba kukipinga Aprili 20

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetangaza kuwa mchezo kati ya Yanga na Simba maarufu kama Kariakoo Derby utapigwa ifikapo Aprili 20 mwaka huu ndani ya dimba la Mkapa majira ya saa 11:00 Jioni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *