YANGA NA FOUNTAIN GATE WATOA VIKOSI VYAO, VITAZAME HIVI HAPA…

Timu ya Yanga na Foutain Gate vimetoa tayari vikosi vyao ambavyo vitapambana kutafuta point 3 leo kwenye uwanja wa KMC Comlex uliopo Mwenge DSM.

Wewe ni shabiki wa Kikosi gani kati ya hivi viwili leo?? Majibu baada ya dakika 90.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *