Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Yanga kuingiza bure Mashabiki Kwenye Mechi Yao na Mamelodi

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC Ally Kamwe amesema Rais wa Yanga SC Hersi Said pamoja na Kamati yake ya Utendaji wamekubaliana kuwa mechi yao dhidi ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini siku ya Jumamosi ya March 30 2024 itakuwa bure sehemu za mzunguuko.

Amesema wameamua kufanya hivyo kwa kuzingatia kuwa mechi inachezwa usiku saa 3:00 hivyo wanawapunguzia mashabiki gharama kwenye kipindi hiki.

Yanga wametangaza gharama zao za tiketi zitakuwa VIP A Tsh 30,000, VIP B Tsh 20,000 na VIP C Tsh 10,000

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *