Staa wa kutoka Nigeria Wizkid, amethibitisha kuwa atatoa kiasi cha naira milioni 100 sawa na Tsh/=316,835,932.00 kwa watoto waishio mazingira magumu ili kusheherekea sikukuu ya Krismasi.
Mkali huyu ambaye amewahi kushinda tuzo ya Grammy,amebainisha hayo hivi kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram(Instastory) leo Desemba 11.