Wizkid asitisha ziara yake

Wizkid amesitisha ziara yake ya ‘More Love Less Ego’. Ziara hii ilipangwa kufanyika sehemu mbalimbali Duniani ikiwemo Ulaya. Taarifa ya ziara hii kusitishwa imetoka Ticketmaster, ambao ndio wauzaji tiketi za shoo hiyo.

Hata hivyo vyanzo mbalimbali vinadai Wizkid kafanya hivyo kwa kuwa bado anaomboleza kifo cha mama yake kilichotokea Agosti 18, mwaka huu.

Ziara ya Wizkid ilianza Machi 2023 na ilitarajiwa kufanyika hadi mwisho wa mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *