Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Wizkid anaupiga mwingi

Star Boy, Wizkid kutoka Nigeria ndio msanii aliyekinukisha kwenye mataifa mengi zaidi kuliko msanii mwingine.Na kwa mara ya kwanza alitumbuzia Tanzania Agosti 20, 2016 kisha akaja tena. 2019, pia akefanya shoo nchi za Afrika Mashariki kama, Rwanda, Uganda, na Kenya.

Vile vile amefanya Saudi Arabia, India, USA, Malaysia, Switzerland, Norway, Denmark, Belgium, The Netherlands, Germany, Canada, UAE, Barbados, Nigeria, Ghana, Cameroon, Liberia, Sierra Leone, Niger, Senegal, The Gambia, South AfricaZambia, Guinea, Botswana, Ethiopia, England, Finland, France, Cote d’Ivoire, Lebanon, Australia, Congo, Cyprus, Ireland, Equatorial Guinea, Portugal, Malta, Sweden, Benin, Trinidad, Tobago na Mali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *