Wimbo “Baridi” wa Jay Melody umewafika washiriki na waandaji wa mashindano ya Miss World 2024 ambayo yanafanyika nchini India ifikapo Machi 9 mjini Mumbai.
Ukurasa wa Miss World wametumia wimbo huo wakati walimbwende kutoka mataifa mablimbali wakiwa wanashuka kwenye gari ambalo wanalitumia.
Haya ni mashindano ya 71 na kwa Mwaka huu Tanzania inawakilishwa na Halima Kopwe