Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Wimbo “Baridi” wawafikia washiriki wa Miss World

Wimbo “Baridi” wa Jay Melody umewafika washiriki na waandaji wa mashindano ya Miss World  2024 ambayo yanafanyika nchini India ifikapo Machi 9 mjini Mumbai.

Ukurasa wa Miss World wametumia wimbo huo wakati walimbwende  kutoka mataifa mablimbali wakiwa wanashuka kwenye gari  ambalo wanalitumia.


Haya ni mashindano ya 71 na kwa Mwaka huu Tanzania inawakilishwa na Halima Kopwe 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *