Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Willy Paul aliacha kwenda kanisani tangu 2017


Mara yako ya mwisho kuingia nyumba ya ibada ni lini? Hapa Staa wa muziki kutoka nchini Kenya Willy Paul Msafi ameweka wazi kuwa aliacha kwenda kanisani maika saba iliyopita, baada ya kutokewa na tukio la kushangaza ndani ya kanisa hilo.

Mkali huyo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram hapo jana.

“Sijaenda kanisani tangu 2017, kwa sababu kanisa lilinifanyia kitu kibaya,” Willy Paul alisema kupitia ukurasa wake wa Instagram. “Lakini jana nilihudhuria ibada ya kanisa huko Embakasi na ninahisi faraja sana. Utakuwa mwaka mzuri sana kwa sababu nimeuanza kanisani,” aliandika Willy Paul.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *