Wikiendi jiachie na filamu ya Mea Culpa

Ni wikiendi nyingine ambayo huwenda hautaki kutoka hivyo unataka kutazama filamu, basi tazama Mea Culpa.

Hii ni filamu ya kusisimua ya kisheria kutoka Marekani kwa mwaka huu 2024, ambayo imeandikwa na kuongozwa na Tyler Perry.

Filamu hii ina staa wa muziki Kelly Rowland , ambaye anakuwa kama wakili wa utetezi wa jinai, ambaye anachukua kesi ya msanii, ambaye anatuhumiwa kumuua mpenzi wake. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *