Westham na Arsenal wakubaliana dili la Declan Rice

Klabu za WestHam na Arsenal zimekubaliana ada kwa ajili ya Declan Rice mazungumzo ya mwisho kuhusu aina ya mkataba yanakaribia kukamilika.

Arsenal wanatoa ada isiyobadilika ya pauni milioni 100m pamoja na nyongeza ya pauni milioni 5, ada ya uhakika itakayolipwa ndani ya miaka minne.

West Ham wanataka pauni milioni 100 walipwe ndani ya miezi 18 ili kutoa mwanga wa mwisho kukabiliana na hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *