#WCW: Historia ya Jokate

Anaitwa Jokate Mwegelo alizaliwa 20 Machi 1987ni mwigizaji wa filamu, mjasiriamali na mwanasiasa kutoka nchini Tanzania.

Mnamo mwezi Julai 2018 aliteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe.

Jokate vilevile alikuwa mtangazaji na mwimbajina Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Kidoti Company. Na Oktoba moja mwaka huu Rais Samia amemteua kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *