Uongozi wa lebo ya WCB, Wasafi leo Machi Mosi imekanusha taarifa za Mlinzi wa Diamond Platnumz , Onesmo Rupia kumpiga muandishi wa habari, mnamo tarehe 24,2,2024.
Uongozi huo umebainisha kuwa mwandishi huyo alivuka mipaka yake na hivyo Mlinzi wa Diamond, Onesmo akiwa na mwenzake walitumia njia zinazotumiwa kuhesmimu na kulinda haki za waandishi wa habari katika kumzuia.