Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

WCB wabeba tuzo EAEA

Lebo ya Wasafi imeongoza kuondoka tuzo za EAST AFRICA ARTS & ENTERTAINMENT AWARDS(EAEA), huko nchini Kenya kwa kufungasha tuzo 10 moja kati yao ikienda kwa Meneja Bora ambaye ni Babu Tale. Diamond Platnumz, ameshinda tuzo tano ambazo ni Artist/group of the year, Music Video Of TheYear , Best Male artist East Africa, Best Bongo flava Single na Best East Meets West Collabo ft @patorankingfire KOLO. Na kwa Zuchu  pia ameshinda tuzo kama Best Female Artist East Africa na Best Afro Pop Single (Fire) Mbosso naye anazo mbili ambazo ni Best Afro Native Single(Huyu Hapa) na Album/EP Of The Year East Africa (KHAN).

Wengine ni Rayvanny ft @gims ‘Best Global Collaboration Project’ Harmonize ‘Best Trending Digital Hit’ (Single Again), Video Director Of The Year Director Ivan_, Dj Ally B  ameshinda ‘Male Deejay Of The Year’ Barnaba na Marioo, (MARRY ME) imepata ‘Afro RNB Single Of The Year’.

Tuzo ya ‘Over all Hit Single Of The Year’ imeenda kwa Jaymelody kupitia ngoma ya NAKUPENDA.
Vile vile na  Marioo ‘Best Inspirational Single’ Na tuzo ya ‘Audio Producer Sound Engineer O fThe Year’ imeenda kwa S2kizzy na Rapper Of The Year imeshika kwa Young Lunya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *