Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Waziri Mkuu safarini kuelekea Hanang

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Disemba 4, 2023 ameelekea katika Mji wa Kateshi, ulioko wilayani Hanang ambapo atawajulia hali waathirika wa mafuriko yaliyoambatana na maporomoko ya udongo, kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia jana wilayani humo na kusababisha vifo vya watu 49 hadi sasa na kujeruhi wengine 85.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *