WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA TUME YA RAIS YA MAREKEBISHO YA KODI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na wajumbe wa Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

Wajumbe hao waliongozwa na mwenyekiti wa tume hiyo Balozi Ombeni Sefue hii leo Januari 20, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *