Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Waziri Aweso atoa maagizo DUWASA

Waziri wa Maji Juma Aweso amewaagiza watendaji wa wizara kushirikiana na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mkoa wa Dododma DUWASA kuhakikisha wanatatua changamoto ya uhaba wa maji iliyopo katika chuo kikuu cha Dodoma UDOM ambapo changamoto hiyo imekuwa kero na kukwamisha baadhi ya shughuli za kitaaluma.

Waziri Aweso ametoa maagizo Jijini Dodoma wakati alipokagua hali ya upatikanaji wa maji katika chuo hicho mara baada ya makamu mkuu wa chuo udom Prof. Lughano Kusiluka kuibua changamoto hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *