Aliyekuwa mshambulizi wa zamani wa Manchester United Wayne Rooney anatajwa kuwa na nia ya kufuata nyayo za mchezaji mwenzake wa zamani wa timu ya Uingereza Steven Gerrard kwa kuinoa Saudi Arabia.

Hayo yamebainisha na mitandao wa Sun kutoka Uingereza. Kabla ya ofa hii Wayne alikuwa akiifunisha timu ya soka ya Birmingham City.