Watu 17 wamefariki baada ya kufukiwa na kifusi katika Mgodi

Watu 17 wamefariki dunia baada ya kutitia kwa kifusi katika Mgodi wa Dhahabu wa Ikinabushu uliopo Wilayani Bariadi mkoani Simiyu.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amethibitisha kupatikana kwa miili hiyo ambapo amesema juhudi zinaendelea kutafuta kama kuna watu wengine wamenasa kwenye kifusi hicho.

Jambo FM ipo katika eneo la tukio na habari kamili itakujia hivi punde.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *