Watoto wa Kiume wapo hatarini na amewataka Watanzania wametakiwa kuzingatia ulinzi wa Watoto wote hasa wa kiume, kutokana na kuwa hatarini kwasasa.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba hii leo Agosti 27, 2026 Bungeni Jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Katavi, Thomas Kampala kuhusu vitendo vya usagaji na ushoga.

Akijibu swali hilo, Mwigulu amesema, “tuwaangalie Watoto wote, hata Watoto wa kiume kwasasa wako hatarini sana na pengine athari ambazo wanazipata Watoto wa Kiume zinaweza zikawa kubwa.”


