Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Wasichana hatarini kupata maambukizi ya VVU

Vijana kuanzia umri wa miaka 15-24 hasa kundi la wasichana wanaoishi kwenye mazingira magumu wako hatarini kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi ikilinganishwa na makundi mengine ya kijamii.

Tafiti hizi zimefanywa na wanasayansi na watafiti wa magonjwa ya kuambukiza .

Wakiwa kwenye kongamano la kisayansi, ambalo limeshirikisha watafiti na wataaluma kutoka maeneo mbalimbali duniani, mtafiti kutoka taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu tanzania, NIMR, dk. Chacha Mangu amesema watu wenye maambuklizi ya magonjwa kama vile kifua kikuu na vvu wanapaswa kuwa na desturi ya kupima afya zao mara kwa mara ili kujihami na magonjwa nyemelezi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *