Wanawake 53 wanauawa kila siku

Ripoti ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Nchini (LHRC) inaonesha idadi ya Wanawake wanaouwawa kila Mwezi imeongezeka kufikia 53 kutoka 43 kwa kipindi cha Miaka mitano iliyopita

Kati ya Mwaka 2018 hadi Septemba 2022, Wanawake 2,438 waliuwawa ikiwa ni sawa na wastani wa wanawake 492 kila Mwaka na wastani wa Wanawake 53 kila Mwezi

Utafiti uliofanyika katika Mikoa ya Geita, Shinyanga, Mwanza, Dar es Salaam na Kilimanjaro, umeonesha mauaji mengi ya Wanawake yanafanywa na Ndugu wa karibu na sababu zikiwa ni Ushirikina na Wivu wa Mapenzi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *