Wananchi wamlilia Lowasa

Baadhi ya wananchi wameeleza masikitiko na majonzi yao juu ya msiba wa kitaifa wa aliyekuwa waziri mkuu wa zamani edward lowassa aliyefariki dunia februari 10, 2024 katika taasisi ya moyo ya jakaya kikwete jijini dar es salaam.

Wananchi hao wameelewa masikitiko yao kupitia  ujumbe tofauti tofauti waliouandika kupitia mabango waliyokuwa wameyabeba nyumbani kwa hayati Edward Lowasa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *