WANANCHI MABINGWA MAPINDUZI CUP

Wananchi, Yanga SC ni mabingwa wa Mapinduzi Cup, baada ya kuifunga Azam FC kwa mikwaju ya penalti 5–4, kufuatia sare tasa katika muda wa kawaida na nyongeza wa mchezo huo wa fainali.

Ndani ya dakika 90 mchezo ulimalizika kwa sare ya 0-0, kisha dakika 30 za nyongeza hakuna timu iliyofanikiwa kupata bao, huku yanga wakishindwa kuitendea haki nafasi ya mkwaju wa penati iliyopigwa na Pacome Zouzoua.

Dkk 90: Yanga 0-0 Azam

Dkk 30: Yanga 0-0 Azam

Penati: Yanga 5-4 Azam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *