WANAJESHI WAWILI WA TANZANIA WAUAWA DRC, WANNE MAJERUHI

Taarifa kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania, iliyotolewa hii leo Februari 2, 2025 na kusainiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano, Kanali Gaudentius Gervas Ilonda imeeleza kuwa imewapoteza askari wake wawili waliokuwa wakilinda amani Nchini DRC.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *