Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14, 2023.
https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/psle/results/distr_0206.htm
Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed.
Kwa mujibu wa Dk Mohammed, wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mitihani yote au idadi kubwa ya masomo, watarudia tena mwaka 2024.
o Taarifa kamili Tembelea www.jambofm.co.tz
o Endelea kutufuatilia zaidi kupitia
Facebook: @JamboFmRadioTZ
Twitter (X): @jambofmtz
TikTok: @jambofmtz_
Youtube: @jambofmtz
Sikiliza LIVE: www.jambofm.co.tz
#jambofmtz #shinyanga #jambotanzania #kahama #tanzania #Utamu #leoleo
#Mwanafamilia #JamboGroup