Rapa Rick Ross na Meek Mill wameweka wazi ujio wa albamu ya pamoja iitwayo ‘Too Good To Be True’.Wawili hao wamefunguka hivi karibuni kupitia mahojiano waliofanya na Rap Life Radio ambapo walienda kuutambulisha wimbo wao mpya uitwao “SHAQ & KOBE”.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz