Katika mwezi wa Maokoto/Agosti mtandao wa #chartData Tanzania umetoa orodha ya wasanii 10 Bongo walitazamwa zaidi katika mitandao wa You Tube.
Wasanii hao ni :-
1. @DiamondPlatnumz 37.8M
2. @Harmonize_Tz 19.6M
3. @officialzuchu 16.7M
4. @Juma_Jux 15.6M
5. @Rayvanny 14.2M
6. @OfficialAlikiba 9.76M
7. @Mbosso_ 8.97M
8. @RealJayMelody 8.14M
9. @Marioo_Tz 7.73M
10. @malkiarosemuhando 4.56M
Pia upande wa Hip Hop wasanii hawa ndio waliotazamwa zaidi.
1. @darassacmg255 2M
2. @billnass 1.69M
3. @naytrueboytz 1.38M
4. @kontawaa 936k
5. @rosa_ree 735k
6. @roma_zimbabwe 680K
7. @professorjaytz Jay 549k
8. @therealfidq 515K
9. @youngkillermsodokii 406k
10. @staminashorwebwenzi 240k