Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Wambura Mtani Mtangazaji Bora Wa Kiume Tanzania

Mtangazaji wa kipindi chaThe Booster kutoka Jambo FM-Shinyanga ,Wambura Mtani ametajwa na mtandao wa IPSOS kuwa mtangazaji namba moja wa kiume Tanzania.

Wambura anashika nafasi ya kwanza kwa wanaume huku akifuatiwa na watangazaji wengine kama Millad Ayo, Djaro Arungu, Adam Mchomvu, Maulid Kitenge na George Ambangile.

Mtandao wa IPSOS imetaja orodha hiyo kwa robo ya tatu  kwa mwaka 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *