Waliotumia Dawa za kienyeji kutibu Red Eyes wapata Upofu

Watu saba wamepofuka macho baada ya matumizi ya dawa za kienyeji kutibu ugonjwa wa macho mekundu (Red eyes) Zanzibar.

Miongoni mwa wagonjwa waliopata upofu yupo mtoto wa miaka 11 ambaye jicho lake la kulia limeathirika na walifanya jitihada za kumpeleka Hospitali ya CCBRT lakini ilionekana haliwezi kurejea katika hali ya kawaida. Mbali ya hao, zaidi ya watu 12,860 wameugua ugonjwa huo, wengine wakiwa wamepona na baadhi wanaendelea na matibabu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *