Wakili wa Naira Marley, Bwn Olalekan Ojo, amekanusha vikali madai ya kuwa mteja wake alihusika katika kifo cha aliyekuwa msanii wake, Ilerioluwa Oladimeji Aloba, maarufu, Mohbad kilichotokea Septemba 12.

Wakili wa Naira Marley amesema hakuna ushahidi wowote unaoonesha mteja wake anamdhulu marehemu Mohbad, Ojo amesema hayo kupitia maohjiano aliyofanya na mwanamitandao
Daddy Freeze hivi karibuni.