Rapa Wakazi ambaye anaiwakilisaha 255 amewataka wasanii wanaotunga Nyimbo za maombolezo wazifanywe kwa moyo kweli iliziwaguise wafiwa na ziwe bora.
Wakazi ametoa kauli yake hiyo kupitia mtandao wa X “Kama mtu unafanya nyimbo za tribute kwa waliotangulia, basi zifanye kwa moyo kweli na kuhakikisha zina ubora na zitawagusa wafiwa na kuwafariji. Haina haraka… Hakuna mashindano, na usilalamike watu wakikukejeli. Pengine ni nafasi ya kujitathmini kama kweli umefanya kitu kizuri.”