Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Wagonjwa wa Kipindupindu nchini wafikia 1, 299

Imeelezwa kuwa hadi kufikia Januari 25, 2024 idadi ya wagonjwa wa kipundupindu nchini wamefikia 1,299 na kati yao 636 bado wanaendelea na matibabu hospitalini.

Hayo yamebainishwa na Mhadhiri Msaidizi na mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Theresia Masoi wakati akizungumza na waandishi wa Habari katika mkutano uliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kuhusu utengaji wa bajeti ya kujiandaa kupambana na magonjwa ya milipuko ikiwemo Uviko 19 na kipindupindu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *