Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

VMoney atarudi bongo?

Kumuona hadharani akiwa hapa 255 Tanzania ilikuwa Desemba 31,2019 alipokuwa na mpenzi wake Rotimi, Huyu ni Vanessa Mdee ambaye kwa sasa amechukua OFF kwenye muziki.

Mrembo huyo ambaye ni mchumba wa muigizaji na msanii wa muziki Rotimi, kutoka Marekani ameweka wazi kukumbuka nyumbani. Ni muda sasa mrembo huyo kuwa mbali na nyumbani (TZ) tangu aanze kuishi huko na kufanikiwa kupata watoto wawili wa kike na wakiume na msanii huyo wa tamthilia ya ‘POWER’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *