Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Viziwi walalamika kubaguliwa

Licha ya jitihada zinazofanywa na serikali kuhakikisha kundi la watu viziwi haliachwi nyuma ikiwemo kuwawezesha kwa uwepo wa kamusi ya kidigitali ya lugha ya alama lakini bado jamii inaaswa kutowabagua watu wasiosikia ikiwa ni pamoja na kuwathamini katika nyanja mbalimbali likiwemo suala la ajira kwani waajiri wengi wamekuwa hawawapi kipaumbele kuanzia serikalini na hata katika sekta binafsi.

Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa Chama cha Viziwi (CHAVITA) mkoa wa Shinyanga, Frola Nzelani wakati ikizungumza na Jmbo Fm kuhusiana na maadhimisho ya wiki ya viziwi ambayo yameanza tangu September 25 na kilele kitakuwa September 30 huku akiiasa jamii ikitakiwa kujifunza lugha ya alama na kuifahamu ili kurahisisha mawasiliano na viziwi husuni katika maeneo nyeti kama hospitali mahakamani na hata katika nyumba za ibada.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *