Hafla ya ugawaji wa tuzo za MTV EMAs 2023 iliyopangwa kufanyika Novemba 5, 2023 huko Mjini Paris – Ufaransa imeahirishwa mpaka Novemba 2024 huku chanzo kikitajwa kuwa ni vita ya Israel na Palestina.
Kwa upande wa 255 Diamond platnumz alikuwa akiwania tuzo hizo kipengele cha #BestAfricanAct, huku Rayvanny akitarajiwa kutumbuiza kwenye shughuli hiyo. Na hii ni mara ya kwanza kwa tuzo hizi kuahirishwa tangu kuanzishwa kwake mnamo mwaka1994.