Albamu ya nne ya #harmonize #VisitBongo imekamilika na tayari ameachia orodha ya ngoma zipatazo 14 na sita kati ya hizo zimetoka.
Albamu hiyo inatarajiwa kutoka rasmi siku ya kesho, Novemba 24.Na maproducer ni #wulan_tag , B Boy beats na _Daxco Chali.