Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Vinara wa Grammy Afrika

Usiku wa leo zoezi la kutaja majina ya wasanii wanaowania tuzo za Grammy 2024 linatarajiwa kufanyika huko Marekani.

Na hii ndio orodha ya wasanii kutoka Barani Afrika ambao wamewahi kushinda tuzo hizo kubwa Duniani. Na mpaka sasa wasanii kama Angelique Kidjo, kundi la Ladysmith Black Mambazo na Benin kutoka Afrika Kusini ndio vinara wa kushinda tuzo hizo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *